Hatareeeeee.......hata mimi nimetumiwa hii sms jana usiku lakini kwa jina lingine na nilipopiga ile namba haipokelewiWatanzania na tamaduni zetu za asili........ [emoji16][emoji16]View attachment 755575
itatoke ww ndo umemrushia mtu afu akatoa fasta ndo utajua utamu wake
huyu ndo chiz kabisaaaa[emoji23]Namsumbiria ajibu nimtumieView attachment 755767
Basi utakuwa hujakutana na msg hizo basi...sijaelewa kitu bado
Acha kabisa halafu kaja yupo smart kweli yaani huwezi mdhania kabisaunadhani unamtumia mama mkwe kumbe unamtumia mshakaji kiulaini tu[emoji41]