Vituko Magazetini: Vita vya Kikabila au Vita vya Ng'ombe Tarime?

Kuhani

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2008
Posts
2,944
Reaction score
64
Hivi ukisema "ethnic clash" maana yake nini?

Kwenye hii taarifa nimetafuta hiyo "ethnic clash" ni baina ya ethnicity gani na gani, naona wanaongelea kuibiana ng'ombe kuwa ndio sababu ya mapigano.

Pia wameongelea "tribal clashes" lakini naona kuna kabila moja tu humu limeongelewa, Wakurya. Vijiji viwili vya Wakurya vimepigania ng'ombe. Sijui inakuwaje "ethnic clashes" na "tribal clashes."

Kabla sijatukana waandishi ambao wana "mazingira magumu ya kazi ya uandishi Tanzania" labda kwanza niombe kusaidiwa, ukisema ethnic clash au tribal clash maana yake nini hasa?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…