Vituko mahakamani

Vituko mahakamani

Ambassador

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Posts
933
Reaction score
75
Mahakamani. Kijana wa miaka 22 anashitakiwa kumbaka bibi kizee wa watu.
Hakimu: Bibi, hebu ieleze mahakama kilichotokea.
Bibi Kizee: Nimelala nyumbani kwangu usiku wa manane. Mlango unavunjiliwa mbali na anaingia huyu kijana, aliyesimama pale.
Hakimu: Endelea, Bibi.
Bibi Kizee: Si, akanivua nguo zote na kunipanda.
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Akawa anakata kushoto, mimi kulia. Alidhani mimi siyawezi!
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Kila akikata, na mimi najibu!
Hakimu: Sasa tatizo lililokuleta hapa mahakamani ni nini?
Bibi Kizee: Atengeneze ule mlango aliouvunja!
 
Kaaazi kweli kweli!
 
Hahahaha, Ambassador!!! hujatulia weweee! ngoja upate laana kwanza!
 
Duh!! LoL!!! hahahahahah usingizi na kicheko raha sana
 
Heee....hahahahaha.....wemama wemama hihihihihihihiiiii! Du! Waliomsikia yule bibi watakwenda kujaribu mikato yake waone makali yalivyo, lakini waende na misumari na nyundo kuutengeneza mlango mapema kabla hajaenda mahakamani.

Leka
 
ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Afadhali umecheka hapa jamvini. Ukithubutu mahakamani, utaishia keko kwa kudharau mahakama.

Ni hadithi ya ajabu hiyo! Wahitaji walikutana bila kupanga!
 
Back
Top Bottom