Vituko mbalimbali vya wauza nyama

Mkuu zile wanatupa ni makapi
Zile ninazotaka wanauza na wanakuwa na order kabisa

Labda nijaribu msimu huu wa mzee kama mambo yamebadilika.
Kila la kheri,utafanikiwa!
 
Kuhifadhia nyama kwa kutumia dawa za maiti ili zisiharibike
 
Hii ya kutumia dawa ya maiti kwenye nyama.Kuna ukweli mkubwa sana ndani yake.Hebu tujiulize,BUTCHER NYINGI HUWA HAZINA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA NYAMA.NA MPAKA MUDA WA KUFUNGA UNAKUTA NYAMA NYINGI TU IMEBAKI.JE,HUWA WANAIHIFADHI VIPI?
Hii nilisikia kuwa inafanyika huko Uganda, kwa Bongo sidhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…