Jamani wadada mcheps ni kwa ajiri ya kugegedua a sio kumchuna 🤣🤣🤣🤣 mwamba kafanya vizuri sana. Huyu anastahili kupongezwa. Hatutaki wanawake wezi wezi
Jamani wadada mcheps ni kwa ajiri ya kugegedua a sio kumchuna 🤣🤣🤣🤣 mwamba kafanya vizuri sana. Huyu anastahili kupongezwa. Hatutaki wanawake wezi wezi
Mtu anamwaga fedha hivi halafu unakuta mtoto wake chuo anakuja kusoma kwa mkopo wa serikali. Wasukuma amkeni nimeshashuhudia Baba anamwambia mtoto ukikosa mkopo sikupeleki chuo. Wakati Baba huyohuyo anamhonga hawara gari.