Rodrick Lodge Muingereza mwenye miaka 69, alikutana na Mkenya akaunganishwa na binti anayeitwa Anita wakawa wanawasilina.Rodrick akataka kumuoa Anita na akawa anamtumia Pesa zilizofika Tsh Milioni 300. Alipoenda Nairobi kuoa akagundua Anita hayupo tena ametapeliwa na yule Mkenya
 
Rodrick Lodge Muingereza mwenye miaka 69, alikutana na Mkenya akaunganishwa na binti anayeitwa Anita wakawa wanawasilina.Rodrick akataka kumuoa Anita na akawa anamtumia Pesa zilizofika Tsh Milioni 300. Alipoenda Nairobi kuoa akagundua Anita hayupo tena ametapeliwa na yule MkenyaView attachment 3089564
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…