Kijana wa hovyo hapa anaweza kusimamisha; na hata kupigia puchu kabisa ๐
Kuna watu wazima wameangalia wamenuna... hahaahahaha
View: https://youtu.be/W0uB5Qdsirs?si=IIbmr9vOzufZvw44
Halafu watokee vizavizabina wawagombanishe, wenyewe wamependeza, wanachekeana, wanapendana, wanaelewana hata wakigombana watapatana....
Mahaba tele kwao...๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ.