Pole sana Mtumishi. Kwa maelezo haya; si bure umebananishwa mahali. Banana tu ndugu yangu; tupo nawe hadi uuawe
 
Pole sana Mtumishi. Kwa maelezo haya; si bure umebananishwa mahali. Banana tu ndugu yangu; tupo nawe hadi uuawe
Jamani! Ni mtu amedukua akaunti yako au ni wewe kabisa Ma Mchungaji ndo unaandika haya? Tangu lini umeacha kuwa kimbilio la watafutao faraja katika Bwana; na kugeuka kuwa mtibua upupu na mtonesha vidonda vya waliobananishwa huko huku ukiwaombea wazidi kubananishwa mpaka wauwawe? Kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…