Out of point hawa wanasiasa wa kiume(wababa) nadhani watakua na stock kubwa sana ya wanawake kila mkoa yaani nimeona hivyo nimeanza ku imagine na mimi ningekuwa mbaba kama yeye nipate mishangazi mizuri mizuri na mimi igare gare kwa ajili yangu 🤗🤗View attachment 3122950
Mchengerwa naye sijui kapokelewa wapi huko kwa wanawake kugaragara. Halafu wengine watu wazima sawa na mama zake 🚮