Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za hovyo kwani wamekuwa wakitongoza watu waliowazidi umri sawa na mama zao. “Kwa mfano mimi hapa yani sasa hivi natongozwa na vijana zaidi kuliko hata nilivyokuwa binti…” ~ Mama Terry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…