Mwamba katisha sana japo nadhani ni mgonjwa huyu. Ana sexual addiction; narcistic personality disorder na hata sexual sadism. Na nadhani alikuwa akiwarekodi hawa wanawake bila wao kujua ili baadaye akija kuangalia apate dopamine gratification upya. Na kila mwanamke aliyekuwa akifanikiwa kumpata na kumrekodi kwake ilikuwa conquest ya aina yake. Na kuwarekodi kwake ndiyo hasa ilikuwa thrill yenyewe kuliko hata kuwala.

Ambacho hakujua ni kwamba picha na video hizi za ngono zikishachukuliwa ni lazima tu zivuje. Kuna kupoteza simu/device. Kuna simu kuharibika na kuipeleka kwa fundi. Kuna picha kuvujishwa kimakusudi. Kuna simu kudukuliwa. Na kuna hizi hekaheka za kisheria kama kwa huyu bosi. Lakini watu hawakomi!

Anahitaji msaada wa kitabibu huyu hasa Psychological Counseling japo hawa jamaa aliowachapia sijui kama watamwacha salama. Na hao akina mama dah! Wake wa vigogo. Pesa wanazo. Maisha mazuri. Lakini bado wanaliwa nje! Wanawake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…