Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Katika hao aliowalia naamini atajitokeza angalau mmoja kati yao ataenda kumkata utepe kwa njia yoyote iwayo.Mwamba katisha sana japo nadhani ni mgonjwa huyu. Ana sexual addiction; narcistic personality disorder na hata sexual sadism. Na nadhani alikuwa akiwarekodi hawa wanawake bila wao kujua ili baadaye akija kuangalia apate dopamine gratification upya. Na kila mwanamke aliyekuwa akifanikiwa kumpata na kumrekodi kwake ilikuwa conquest ya aina yake. Na kuwarekodi kwake ndiyo hasa ilikuwa thrill yenyewe kuliko hata kuwala.
Ambacho hakujua ni kwamba picha na video hizi za ngono zikishachukuliwa ni lazima tu zivuje. Kuna kupoteza simu/device. Kuna simu kuharibika na kuipeleka kwa fundi. Kuna picha kuvujishwa kimakusudi. Kuna simu kudukuliwa. Na kuna hizi hekaheka za kisheria kama kwa huyu bosi. Lakini watu hawakomi!
Anahitaji msaada wa kitabibu huyu hasa Psychological Counseling japo hawa jamaa aliowachapia sijui kama watamwacha salama. Na hao akina mama dah! Wake wa vigogo. Pesa wanazo. Maisha mazuri. Lakini bado wanaliwa nje! Wanawake!
Wameshachelewa.
Hata ufanyeje kuchapiwa kuko pale pale tu!
Engonga mshenzi sana. Kaleta mtafaruku mkubwa!Mmoja Kati ya wanawake aliopita nรฃo mwamba wa equatorial guinea ameripotiwa kujiua asubuhi ya Leo ๐
Huyu ni motoni moja Kwa moja๐คญView attachment 3144695
Ni lizuri japo ni lifisadi likubwa!
Too little. Too late. Tayari tunazo....
Huku nimeshahama kitambo. Nipo na vimbaumbau VYENYE AFYA sasa. Zingatia sana neno VYENYE AFYA!
Bado hujasemaaa! Selfish, egoistic and narcistic people will singlehandedly end "whatever you had" without any valid reasons; and leave you picking up the pieces of pain... That's life. Pick up the pieces, mend yourself up and keep marching....and take the lessons with you!
View attachment 3145712
Dah๐๐๐now you are talking๐Huku nimeshahama kitambo. Nipo na vimbaumbau VYENYE AFYA sasa. Zingatia sana neno VYENYE AFYA!
View attachment 3145710