Mahakama Kuu ya Equatorial Guinea imemuona Bartazar Engonga hana hatia kufuatia kadhia ya video za ngono alizorekodi alipokuwa akifanya vitendo vya ngono na wanawake zaidi ya 460.
Mahakama imeridhika kuwa akina mama hao walikuwa ni watu wazima wenye maamuzi yao binafsi, hakumwambukiza yeyote kati yao gonjwa la zinaa.
Kwa upande mwingine wanaume wengi ambao walikuwa waume wa hao wanawake wamemshukuru kwa kuwasaidia kujua tabia halisi za wake zao na wengi weamua kuachana nao rasmi.