Vituko mitandaoni. Tupia chako
Staa wa soka kutoka pwani ya kenya Lucy Kweke ameingia kwenye vitabu vya kihistoria kuwa mwanasoka mchanga kujengewa sanamu kama njia ya kumheshimu.
Sanamu hilo ambalo limejengwa katika uga wa M-Pesa Foundation Stadium, liliwekwa na shule yake ya zamani.
: Kampeni zinaendelea
Na maigizo yanaendelea