#February2017
GWAJIBOY: Mimi siwezi kugombea ubunge kwa sababu nitakuwa nimejishusha chini. Ubunge kwangu ni demotion. Mimi ni mkubwa kuliko mbunge, mimi ni mkubwa kuliko Waziri, Mimi ni mkubwa kuliko Rais. Sema Amen.
WAUMINI: Ameeeeen.!
#July2020
GWAJIBOY: Itoshe tu kusema sasa nagombea ubunge jimbo la Kawe. Kuna watu wanasema eti ubunge ni kujishusha chini. Ngoja niwapasue sasa.
WAUMINI: Pasuaaaaa.!
GWAJIBOY: Ubunge sio kujishusha chini ni kupanua huduma, sema kupanua.
WAUMINI: Kupanua.
GWAJIBOY: Kupitia kanisa nilikua nafikia watu wa Dar es Salaam peke yake, lakini kupitia ubunge nitafikia taifa zima sasa. Napanua huduma. Sema kupanua.
WAUMINI: Kupanua.!
Jr[emoji769]