Weeeeh, niliifanya hii miaka hiyooo nikiwa bado kigori, yaani nilikuwa napewa hela nairudisha au nachukua elfu 1 namrudishia elf 9. Nikaachwa kisa nadharau pesa zake, nadharau hawezi kunitunza, sithamini anavyojitoa kwake.....

Ngachokaa!!! na nikalefti ndoto za kuolewa mazimaaa 😏😏.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…