Hawa watu na Bashite wananikumbusha enzi za Idd Amini alivyolazimisha waingereza wambebe. Safari ni ndefu jamaniMalimwenguView attachment 869436
Nitashangaa kama watu wataenda kupiga kura 2020. Kuna haja gani kama hata Polisi wanaonyesha wazi kwamba ni sehemu ya chama! Tuna mwendo mrefu kufikia democracy ya kweli.Long walk to freedom
Calculating mean (average)