Nani alikwambia kwamba bodaboda hazina foleni? Hii ndio njia rahisi ya kuepuka foleni sasa
Mkuu sijapenda , nitake radhi please π€¨View attachment 3182882
Picga za Christmas zimeshaanza kuvuja. Hapa ni mshamba_mwingine na min -me baada ya kuzidiwa na pilau ya Christmas
Alikula nyama kwa nyama eeeh!
Wote tu watenda dhambi. Mungu Akushike mkono na kukuongoza katika maisha yako mapya. Na usirudi nyuma tena!
Domo koleo, maneno 120 kwa dakika