Happy new year too Mjukuu

Umefanya niende hadi redio Tanzania kutangaza kukutafuta 😜

Hujambo lakini? πŸ€—

Babu yako nimekukumbuka sana Mjukuu πŸ€—
Mbona nashinda RTD sijasikia hilo tangazo babu jamani.

Ahsante sana babu. Mimi nipo sana tu
 
Mbona nashinda RTD sijasikia hilo tangazo babu jamani.

Ahsante sana babu. Mimi nipo sana tu
Nimefurahi kuona tumevuka Mwaka pamoja, ni Neema ya Mungu kuona Mwaka Mpya πŸ™πŸ™πŸ™

Huenda nilikuwa natamka jina lako Kwa kukosea, si unajua Babu yako meno ya mbele yote yalitoka πŸ€—

Fanya uniletee Kiko yangu Mjukuu, ili upite na kunisalimia πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…