View attachment 3201092
Hivi inagharimu kiasi gani cha pesa kuotesha miti ya Jacaranda kwenye barabara za mitaa ya miji yetu? Mbona inaonekana ingependeza sana kwa gharama kidogo

Mitaa mingi ya masaki na oysterbay ilikuwa hivi zamani.

Na kuna mtaa mmoja chang'ombe maduka mawili ulikuwa na miti ya namna hii japo barabara yake haikuwa na lami.
This picture looks beautiful 😍.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…