Anna Nicole Smith. Huyu bilionea alipokata moto familia yake walikomaa na Anna hakupata cho chote. Baadaye alikuja kuwa celebrity-uchwara mpaka alipokufa katika mazingira ya kutatanisha. Ila alikuwa pisi kweli kweli hasa alipokuja kunenepa na kuwa Yutong Executive Class 😁
Kazi ni kipimo cha utu 😁