Aloooo eeheheheheee alooooh daaah
Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Ila hii mbinu nzuri, ujue mtu hawezi ficha kicheko haswa kikimbana 😂😂😂😂
Atachekea tumboni mwisho atatoa sauti tena ya ghafla ikisindikizwa na mashuzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Ukiwa unamtafuta mtu aliyejificha kwenye nyumba na hujui amejificha wapi, dawa ni kuanza kusimulia vichekesho kwanguvu, huko aliko atapasuka mbavu atacheka tuu na utamuona au kujua kajificha wapi.