Unakuja na kukatika[emoji16][emoji16]. Nimekumiss mtoto
Mjukuu nipo. Ni hekaheka tu za uchaguzi tu mjukuu huku Misungwi. Uko poa lakini?Babu,Shimba ya Buyenze,huonekiπ
Nimezisoma. Nyingi ni kamba tupu! π
Nipo. Ni pilika pilika tu ndugu yangu. Mungu ni mwema ππΏBrother you have been missed! Happy to see you again!