Mkuu samahani, nini tafsiri ya kunyoa hivyo?
Naunga mkono hoja
Haha halafu Mshana nakudai ila umejikausha kama haupo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jinsia pinzani
Haha inbox utanipiga saundi..bora nikudai hapahapaInbox na wewe loh, ntaanzishiwa uzi ujue
Huyo wa mwisho kaua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee....hiii nmechelewa sana kuionaaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo mke wa bwana misitu lazima makalio yaote sugu