Hahaha mwanaume wa kweli
Finally alijiua mwenyewe....mpiga picha ya huyo mtoto na huyo tai alipata tuzo kwa picha yake ila alifanya tukio la ajabu maana aliacha kumsaidia mtoto na akawa anatege muda ili apate picha nzuri
ndo mambo ya leo kwenye ajali mtu anakimbilia kupata picha za haraka badala ya kusaidiaFinally alijiua mwenyewe....