Huo ndio utamu wa mbege mamaView attachment 975456walevi wana kazi duh jamaa pua na mdomo vyote ndani ya mbege
Hahahahahahahaaa hawa balale nimekula sana pale kemondo
Numbisa umenivunja mbavu!
Sijui ni Usukumani au Mwakaleli wala haijulikani [emoji16][emoji16]
Wachora tattoo wana shida mnoView attachment 979551
Pamoja!! Siku akijitokeza anayekusanya zawadi kwaajili yako lazima nichangie!! Huwa unaniongezea sana siku za kuishi! Keep it up bestShukran mkuu