Tamutamu Tv vs daily life talk[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wabongo noma vitu vya maana hawaangalii ila upuuzi views kibaoView attachment 1002681
Good morning Madam!
Kumbe na wewe kabla ya kazi unapitia huu uzi kama mimi?
Kama kawaida hapa kijiweni huwa sikosiKumbe na wewe kabla ya kazi unapitia huu uzi kama mimi?