leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Milad ayo sikuizi nimeanza kua na mashaka nae kwenye post zake, milion 20 kila mtu??? yaani mpaka taarifa zimemfikia yeye nafikiri wengine wamefukuzwa kwamba walizidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Milad ayo sikuizi nimeanza kua na mashaka nae kwenye post zake, milion 20 kila mtu??? yaani mpaka taarifa zimemfikia yeye nafikiri wengine wamefukuzwa kwamba walizidi
Sent using unknown device
Kwa mwendo huu ni kweli!Mama mzazi, mama wa kambo na mama wa kufikia wote ni wazazi
Jr[emoji769]