So kweli mkuu....
Nmekula sana ugali wa mhogo kwetu haujawahi kuwa mweusi hvyo. ..
Hata wa ndizi haujawa mweusi hvyo hata wa ngano pia haujawa hvyo
Mkuu kuna watu wanasayansi zao za kubadili hivyo. Just imagine michembe ni nyeupe wakati matobolwa yana rangi zake tofaut na nyeupe huku vyote vikiwa vimetengenezwa toka kwenye zao la viazi vitamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa:Kitu ugali nyaamaaaView attachment 1010542
Hapo kama ujavizowea hivyo vitu unaharisha mpaka unakufaMchuzi wa karangaView attachment 1010543
Mkuu hujaelewa nn? Mbona iko wazi kabisa hiyo😀😀
Wewe unataka nipigwe ban
Hapana mkuu Mimi huwa nafunguka kwa lugha ya jamii forums huijui mkuu haina ukaliWewe unataka nipigwe ban