Unajua kuwa huyo ni dada yangu?mwambie akimaliza aje kule selfika aniliwaze ๐twende nae taratibu, au unasemaje.... persistence is key๐
Unamkuwadia dadangu? ๐ณ๐ณ๐ณ
mambo madogo tu kaka tutayajadili usiwaze kabisa ๐Unajua kuwa huyo ni dada yangu?
Ng'ombe unao au unajishaua tu? ๐ณ
Bila ng'ombe 50+ wala usije hata kujitambulisha! ๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Hapa ni mifupa mitupu sasa...Mshimo wake sasa maweee! ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ
Photoshop zinawabeba sana hawa kawaida sana huyu
Unaonekana una heshima...mambo madogo tu kaka tutayajadili usiwaze kabisa ๐
Mwambie akaoge alale kesho shule๐
hadi farasi utapewa kama unataka ๐Unaonekana una heshima...
Go ahead lakini ng'ombe lazima!
Huyo bado denti bagheshiUnajua kuwa huyo ni dada yangu?
Ng'ombe unao au unajishaua tu? ๐ณ
Bila ng'ombe 50+ wala usije hata kujitambulisha! ๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Dah kweli tumetoka mbali, ung'eng'e na sound zilikua zimelala kichwani, nimekula sana hela za watu wanaomba niwaandikie baruaEnzi zetu dah!
Kimbembe sasa iangukie kwa mwalimu mnoko dah!
Na ilikuwa inasomwa na bweni zima ๐๐๐
View attachment 2601266
hatimae๐Mwambie akaoge alale kesho shule๐
Hii ni kweli ๐ฏ๐ ๐ ๐
Duh...fata nyuki ule asali...
Vipi dogohatimae๐
Demi nimeona tu nikutag rafiki yangu ๐