Tamu sana, wnaojua faida za tikiti kama mimi tunaipenda.
Nchi za wenzetu hizo hawarembi
Hao wa chini copy and paste
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ah ah ah hii ni kwel yaan, niliachwaga na bus kwenda shule zamani sana yaan nililiaaa ubungo pale na ka uniform kangu nilikuwa nawaza adhabu naifanyaje
Ma feelings ya hatari