Niombe radhi.Wewe unashabikia yanga[emoji16]
Yanga itatoboa.
Halafu wanataka eti afukuzwe. Makolo bana ๐๐๐Rekodi zina mbeba.
Kama unataka pira biriani hamia Barcelona View attachment 2774313
Mtaachana tu ๐ฎ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ
Wapi Toyoda? ๐ณ
Kimombo ninachotema hata Shakespeare akifufuka atashangaa aisee ๐๐๐
Mvua zimeenda. Natumaini uchumi wake uko sawa na siyo kama Kandabongoman nimemuona juzi hapa kachoka balaa anachangiwa pesa ya kula
Baharias have guts ๐๐๐