Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mama E, unaitwa na baba E[emoji7]
Mama E ana miezi 9 kamili hajaingia JF. Nahisi alishabadili ID yupo tu ananichora. Ngoja nikionana na dada yake hapa Misungwi Jumapili hii nitamuuliza kama anajua kuhusu hili la kubadili ID hapa ๐๐Mama E, unaitwa na baba E[emoji7]
Wa pili kutoka kulia apewe maua yake..
๐คฃ๐
Dada aambiwe kuwa sasa Mloganzila wana huduma ya kufunga tela
Kulikuwa na ulazima wa kusema kuwa ni familia ya Kisukuma? ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
View attachment 2778948
View attachment 2778949
Hahaha..Hahaha............sio kwa Wanawake wa sasa Mkuu, ndiyo maana Wazee tumeamua kujificha huku shambani kukwepa aibu ndogo ndogo za kuambiwa tunamiliki shotgun bila vibali ๐คช๐๐๐