COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,157
- 1,279
๐๐๐Weka namba ya simu mkuu
Paka wana kazi maalum๐๐
Daah mpira wetu kivyetu vyetuKinyozi anataka vita[emoji23][emoji23]View attachment 2823507
Kama anaenda kwenye usaili vile, inabidi uende kibishi tu ๐๐
๐๐Hachelewi kuziweka hadharani zote
Wale wauza viatu,mashati na vingine....hivi asubuhi unaweza kuta viatu vina rangi mbili tofauti au shati mkono mmoja mrefu mwingine mfupi๐๐๐
Aiseee ๐๐