Kuna mshkaji kitaa aligongwa na taxi alikuwa anavuka barabara bila tahadhari koz ya andasi ya mirungi...akavunjika mguu na mkono cha kushangaza akawa hata halii yaani traffic wamefika jamaa mashavu yamejaa gomba.! Wakasema muacheni tuu hapo ana ganzi ya hatari ya mirungi tumpeleke hospital ya Selian (Ngaramtoni) ila andasi ikiisha ganzi itakata na hapo ndipo atakapotoa kilio cha mbwa koko daah nlichoka sana