Vituko: Taja tukio /kituko ulichofanya ukiwa mdogo ambacho ukikumbuka sasa unajiona mjinga

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Mimi bwana nina vituko kadhaa au matukio kadhaa ambayo nilifanya nikiwa mdogo leo nikikumbuka najiona mjinga sana.

Kituko cha kwanza, nikiwa na miaka kama 10 hivi au 11 kuna mama mmoja tulikutana akaniuliza wewe ni mtoto wa nani, nikamwambia wa flani, akaniambia mama flani ndio mama yako nikasema ndio, akaniambia unafanana sana na mama yako, nikamwambia wewe mama una nyege(mimi sikua najua nyege ni nini) alafu nilivyokua taahira nikaenda kumhadithia mama usiku watu wamekaa, nikamwambia nimekutana na mama flani akaniambia nafanana na wewe nikamwambia ana nyege, kila mtu aliekuwepo pale alibaki mdomo wazi, mimi sikuelewa ila baadae jamaa mwingine akaniita akaniambia hilo neno ni tusi, hua nikikumbuka najiona mjinga sana. Nilimkosea sana heshima mama yangu sema nilikua mtoto na sikua najua maana ya nyege ni nini.

Tukio la pili, hili ni la ajabu kwa kweli, nilipokua form one nilikua nasoma shule ya kutwa, hivyo nilikua naishi geto, sasa kuna mtoto mmoja alikua ananipenda balaa, tunakaa jirani darasani na hata kwenye mitihani alikua anaibia kwangu. Yeye alikua anaishi kwa mjomba wake na mjomba wake alikua na tv anaonyesha banda la video, siku hiyo ijumaa tumetoka shuleni dogo anakiambia niende mjomba wake amesafiri hivyo niende kumla, nilivyo taahira tena nikavaa condom moja kwa moja kutokea geto hadi kwao binti. Ni umbali kama kilometer 3, njiani kote natembea nimedindisha mashine iko ndani ya kondom. Kabla ya hapo sikua nimewahi kulala na mwanamke.

Ile nimefika hom kwao dogo akawa bado hajamaliza mishe mishe, nikasubiri uani huku masshine ikiwa bado inasoma 8G next generation, amekuja kumaliza mishe misha kama baada ya dakika 45 mimi nasubiri tu huku mapigo ya moyo yako juu balaa(toka nimevaa condom hadi anakuja kumaliza ishafika saa nzima). Akaingia ndani kwake nyumba ndogo ambayo ndio alikua analala, nikanyatia nikaingia, ile nimeingia bado mtoto akawa anagoma anasema anaogopa hajawahi, tukaanza purukushani nikilazimisha mechi, mwisho wa siku nikavuta chupi kwa nguvu na kuichana, hapo ni kama dakika 20 tena za ziada, ile nimefanikiwa kuchana chupi na kushika mavuzi laini tu hata sijaingia kwenye mapaja nikamwaga ndani ya condom na biashara ikaishia hapo, nimekaa zaidi ya masaa 3 ngoma haiinuki nikaondoka kurudi nyumbani na huyo mtoto hakunipa tena second chance, alikuja kuliwa na mwalimu basi ikawa imekula kwangu. Juzi kanitafta facebook akanikumbushia hilo tukio la miaka karibu 20 iliyopita, nikafedheheka sana, siwezi kuomba mechi tena kulipiza kisasi kwa sababu yeye kwa sasa sio hadhi yangu tena, hayuko kwa standards zangu tena.

Nikikumbuka hayo matukio najiona mjinga sana.
 
Ha ha ha! Hilo la kondom ni kichekesho cha haja.. tuliowahi kufurumushwa mpk tukapitiliza kwetu tujuane kabla hatujasimulia😎😂😂
 
Ha ha ha! Hilo la kondom ni kichekesho cha haja.. tuliowahi kufurumushwa mpk tukapitiliza kwetu tujuane kabla hatujasimulia😎😂😂
Hili la kukurupushwa nitaliandika baadae hapa. Almanusura nife.
 
ngoja leo niwe mjinga na mimi:
1. Toka nipo darasa la 3-5 nilikuwa natinduana na binamu yangu kila akija kwetu kipindi cha likizo kubwa ile ya christmass sasa siku hiyo bimkubwa akatufumania, kutuchapa akashindwa maana wifi ake ndio alikuwa amemleta dogo na hapo yupo sebureni. Ikabidi atupige beat tusicheze pamoja dogo acheze na wadogo zangu ingawa me na binamu tulikuwa umri sawa. (Sijui huwa anakumbuka ule ujinga akiniona hivi sasa).
2. Kipindi cha jumapili misa ya watoto ilikuwa ni saa 10 jioni, basi siku hiyo tumewahi saa 8 mchana tupo kanisani tunasubir saa 10 jioni misa ianze si nikaingia kanisani mpaka kule mbele kuitafuta sehemu wanapoweka ile mikate kibaya katekista akanikuta, bimkubwa akaitwa na alikuwa na kacheo!.
3. Kuna bro tulikuja ishi naye home sasa akawa kila akitaka angalia TV anatutimua tukacheze, siku hiyo jpili bimkubwa anasukana na wenzie kukawa hakuna cha kuangalia kwa TV akauliza kama kuna mkanda mzuri, nikaikumbuka mikanda ya bro anapoificha nikaona leo ndo chance kuangalia filamu za ngumi kuja uweka sasa!. Tena kipindi hiko madeki ya VHS.
4. Nimeogeshwa mpaka darasa la 3 sasa housegirl alikuwa akiniosha anakavutavuta kadudu anasema katakuwa kakubwa haka, basi kanasimama hatari. Yani nikikumbuka nakosa amani, nilikuwa nanyanyasika kihisia sana!.
 
Duh, Umenikumbusha mbali sana wakati nipo 7-9 yrs tunaishi kurasini kuna jalala pale lilikuwa la kushare miaka iyo watu wakitoka fanya yao kweny nyumba zao wanakuja kutupa condom pale jalalani nikitoka shule naenda kuangalia ambazo hazijachanwa nachukua tunaenda kuchezea tulikuwa tunazijaza maji hata ndoo tatu kondom haijai basi ndio ulikuwa mchezo wetu mpaka ipasuke tunashangilia balaa siku moja mzee akatukuta siwezi sema nini kilitokea.
 
Mimi namatukio mawili tu niliyo aibika.
Na nimeishaga shindwa kuyasahau.

1.Kukata gogo nyuma ya darasa, nikiwa vidudu alafu nilikua mtoto wa mwalimu, yan nakumbuka tu nilivochuchumaa na kushusha kitu, walio kuwa wakwanza kuniona walijua ni mtoto wa mwalimu fulani, wakaenda kutoa taarifa.

2. Hii ilikua sikuku ya Mikaeli na watoto kanisan,
Yani nilikua nasukumana na watoto wenzangu kwenye mstari tuliopanga kwenda kusema mstari wa moyo, nagombania kuwa mbele na huku mjuba sikua na mstar wa moyo wala cha nn, kufika kwenye madhabahu napewa mic niseme mstar wangu, nikabaki kutumbua macho tu.
 
Mimi nilivyokuwa mdogo kati ya miaka 7 au 8 shuleni nilikuwa mkorofi nachokoza wavulana kwa wasichana wengine nawapiga, wengine siwawezi wananipiga yaani ndivyo nilivyo uchokozi uchokozi si nyumbani si majirani yaani hata wadada wa kazi wa nyumbani nachokoza nataka ngumi,

Kuna muda nazidiwa napigwa napeleka kesi nyumbani kwa mjomba wangu nimepigwa shule au nafulani, mjomba ananiuliza huyo alikupiga anaumri gani? Namjibu kama mimi, mjomba anasema kwanini usipigane? ww mtu unalingana nae kwanini akupige?

Mjomba anasema njoo hapa anaanza kunifundisha ngumi kama napigana nae ananielekeza nikirusha hivi kwepa, mara inama, piga kichwa, rusha teke mara zuia hivi, ukiona kazubaa mtie ngumi ya uso. Sasa tukimaliza hapo kesho yake lazima nimchokoze mtu nimfanyie majaribio.
 
Wengi mtaleta matukio ya namna mlivyotolewa KO mechi za kikubwa za kwanza kwanza kabisa hasa mabaharia[emoji23][emoji23][emoji23]

Tiririkeni watu tuongeze siku za kuishi kwa kuheka.


Unforgetable
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ankooooo[emoji851]

Unforgetable
 
Umenikumbusha tulikua tunakaa dawati moja na albino wa kike mim na rafik yangu,
Yani ilikua haipiti siku 2 mimi au rafk yangu lazima kichapo. Hadi tukamuama dawati

Huyo albino alikua anapenda michezo na utani balaa, ila sasa tukimuudhi alikua anainama kwenye dawati anajishika mashavu yanakua mekundu alafu anaenda kusema kwa mwalimu tumempiga, Duu yan mwalimu alikua akija class ni hataki maelezo ni kichapo tu.
Bila shaka ulikula sticks zisizo na idadi[emoji3]
 
Nilikua kama na miaka 6 sita, tulikua home chumbani kwa mama alikua na mtoto mchanga, Mara ghafla tetemeko kubwa mpaka unaskia vitu ndani kama vinasogea hivi, sasa sijui ikawaje mama anafight tukimbilie nje, Mimi nikatoka speed mpaka mlangoni nikafunga na funguo afu nikazuia mlango,yaani kama nazuia kitu kinachotaka kuingia ndani[emoji3] [emoji3] ,mama akanivuta pembeni eti pishaa huko nitoke na mwanangu kama wee unabaki shauri yako, ndyo nami nikatoka speed nje, nilijua tetemeko huwa linaingia ndani dah
 
Hahahahha Huyo mama ulie mwambie ana nyege alikujibu nini ? Na wewe hili neno ulilisikia wapi na ulifikiri ni nini ?
Hili neno nililisikia mtaani sasa nikadhani ni kama nelo lenye maana ya utani, so mimi kama vile nilikua amwambia yule mama aache utani, ananitania kwa sababu kwenye jamii yetu mtoto wa kiume kuambiwa unafanana na mama yako ni kama dharau hivyo unaweza kujikuta hata shuleni unakosa amani unataniwa kua unafanana na mama.

Kumbe bwana nyege ni nyege na sio utani. Nikikumbuka najiona mjinga sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hatarii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…