Vituko ulivyokutana navyo kibaruani

Vituko ulivyokutana navyo kibaruani

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,017
Reaction score
2,158
Mimi ni muuguzi, kuna siku tulipokea mgonjwa, mwanaume wa miaka 67 ameletwa hospitali na polisi baada ya kumkuta akitembea barabarani akiwa amevaa boxer tu.

Aliletwa wodini baada ya assessment ya Accident Department kubaini anahitaji Neurology assessments. Kawaida tukipokea mgonjwa saa yoyote ile kama jikoni kumefungwa, basi atapewa chai na mkate au maziwa, maji na pyajama.

Huyu baba aliita muuguzi usiku anaomba chupa ya haja ndogo, akipewa anajisaidia, anaipeleka chooni, anamwaga haja yake ndogo, ana flash anaosha chupa na kuirudisha kwa muuguzi.

Kwenye meza ya wauguzi wa usiku tulibaki hoi. Lakini alikuwa mgonjwa wa neurology kumbuka.
 
Back
Top Bottom