Wadau wa michezo yote hapa karibuni,kama umewahi shuhudia kituko cha aina yeyote uwanjani ambacho kilikuwacha mdomo wazi tushare pamoja jukwaa lichangamke kidogo...Mimi niliwahi shuhudia mchezaji wakati anacheza mpira buktaikamuanguka...Dah! Hatari sana
Duh!Miaka ya nyuma tulimshuhudia Mze Akilimali akinya mchana kweupe na kufukia kinyesi chake pale uwanja wa Taifa....waliompiga picha hawakuambulia kitu kwani ziliungua zote. Cha kushangaza sasa, Yanga walilamba kichapo toka kwa Simba.
alishenena?Wadau wa michezo yote hapa karibuni,kama umewahi shuhudia kituko cha aina yeyote uwanjani ambacho kilikuwacha mdomo wazi tushare pamoja jukwaa lichangamke kidogo...Mimi niliwahi shuhudia mchezaji wakati anacheza mpira buktaikamuanguka...Dah! Hatari sana