Vituko, vibwanga, mbwembwe vitimbi na matukio katika mechi za watani wa jadi SIMBA na YANGA.

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Uzi huu utakuwa maalumu kwa ajili ya kuweka matukio ya mechi za watani wa jadi, Simba na Yanga!
Imekuwa ni desturi timu hizi zinavyokutana basi, kunakuwa na vituko na matukio ya aina tofauti yakiwemo yakushangaza, kuburudisha, kukera na kuudhi lakini yote ni kwa ajili ya kunogesha derby hii kali ya mjini.
Kwenye uzi huu, tupia picha, videos au chochote kinachohusiana na matukio ya mechi hizi...
Karibuni wadau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…