fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Akiiandika mwenzio ooh upuuzi,utoto,ujinga,huna akili,ukiandika wewe mali,akili,safi sana,material.acheni hizo,jifunzeni kuvumilia na kumezea tu usipopenda alichooandika mwenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadam tunatofautiana hulka, hivo lisikupe shida.Akiiandika mwenzio ooh upuuzi,utoto,ujinga,huna akili,ukiandika wewe mali,akili,safi sana,material.acheni hizo,jifunzeni kuvumilia na kumezea tu usipopenda alichooandika mwenzio
Naunga mkono hoja hata mimi nikifanya jambo ukinisifia naona shida kwa kweliBinadam tunatofautiana hulka, hivo lisikupe shida.
Mfano mimi nikifanya jambo ukanisifia huboreka sana bt kuna watu usipowasifia pia huboreka.
goodKuna watu humu wanajifanya wanajua kila kitu
Mpaka uwa najiuliza watu wa jamii forum wakianzisha nchi yao si tutakuwa Kama Marekani ndani ya miaka 3.
Mtu yupo humu anaongelea mabilioni kutana naye sasa kachoka balaa
Fake life Kuna mwana jamii forum mmoja nilikutana naye baa nikamjua baada ya story kwamba ni member baada ya muda akaanza kuangaika nikamwambia tulia nikampa bia wee kumbe alikuwa anaenda sehemu ambayo ikishafika usiku nauli inapanda anaunganisha magari
Ikabidi anitoe saa5 duh kumbe nauli ilikuwa haitoshi ikabidi nimsindikize mpaka maeneo ya kwao baadae nilivyokuja tafakari I'd yake humu nikagundua
Wabongo wengi ni fake fake fake
Mimi binafsi uwa Sina uwezo wa kujibishana na matusi
Ukiniita pimbi nami nitakuita pimbi
Tuvumiliane hapa kila mtu ana mawazo huru
kabisaHumu watu wote wana akili ni magenius, matajiri, wako perfect kuanzia kwenye mahusiano , kwenye jamii zao , Koo zao.... Humu watu wanajua na ni wafanyabiashara kubwa kubwa hawana shida ndogo ndogo Wana exposure lakini kiuhalisia ni masikitiko.
ha ha safi kabisaHapa ni sehemu ambayo ,masikini akijiunga lazima msongo wa mawazo umuuwe maana atakutana na matajiri wa kila mtaa ,mpaka wenye malengo ya kununua ndege binafsi
ha ha haNaunga mkono hoja hata mimi nikifanya jambo ukinisifia naona shida kwa kweli
hakika ushauri wako mzuriWazoee tu ndivyo walivyo.
Watu wanajua humu.
Mie hakuna point yoyote ya maana itazungumza na mtu wa CCM, wote ni empty set. Full stopAkiiandika mwenzio ooh upuuzi,utoto,ujinga,huna akili,ukiandika wewe mali,akili,safi sana,material.acheni hizo,jifunzeni kuvumilia na kumezea tu usipopenda alichooandika mwenzio
Mie hakuna point yoyote ya maana itazungumza na mtu wa CCM, wote ni empty set. Full stop
Ni maoni yako,hata kama siyakubali ni lazima niyavumile huo ndio uungwanaMie hakuna point yoyote ya maana itazungumza na mtu wa CCM, wote ni empty set. Full stop