fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Mimi kwa sasa ni babu,mara nyingi hupenda kutembea kwa miguu,umbali mrefu,
Sasa njiani huwa nakutana na wanafunzi ambao hunifatilisha navyotembea huku wananiambia we babu shikamoo,basi naitika wanacheka kwa kwa kwa kwa,basi mie napotezea tu