Vituko vya chizi

Vituko vya chizi

mbwana semsimbazi

Senior Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
196
Reaction score
202
Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila nikionja bado ina chumvi. Mwenzake akacheka sanaaaaaa akamwambia. Hujakoroga!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa!hii ndio jf ukinuna utacheka,ukicheka utanuna basi mambo kama hivyo
 
Hahahaaa!hii ndio jf ukinuna utacheka,ukicheka utanuna basi mambo kama hivyo
 
Duh!Lipumbo hyo mkuu anavyokunya pale kwenye ndoo as if yupo sero
 
Back
Top Bottom