Vituko vya couple za JamiiForums

Khakhaakhaaaaa akhsante sana rafiki .
Namuachaje Mwanaume kama Smart911 jamani uwiii

Mahondaw wa Smart911
We are more than couples... More than soulmates... We are what and who we are...

Nimekumbuka kanyimbo fulani hivi ka shule... Enzi hizo... Its says.. Go east, go west mahondaw she's the best...
 
Hii I'd bora imerudi...
 
Mkuu pambana na hali yako

Makandila
 
Wee watu tunakulana live we bakia hivyo hivyo ukadhania wanataniana wenzio tushahamia na kuishi pamoja ,so muwe makini
Unaliwa na nani tuanze hapo?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
saint ivugaa me namjua huyu tunakaa mtaa mmoja mwananyamala ila kila siku ananipiga fiksi tusionane
Hahaha siku ukionana naye hebu cheki my avater

Post sent using JamiiForums mobile app
 
nishajikaza, ila nimekumbuka usia wa mama yangu aliniambia nisikae nisikilize ya wapita njia.

Hope umenielewa kuwa chozi lishakauka
Ama kweli ukipenda hata chongo utaita kengeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…