Hivi kwa nini wanatuonea wivu mpenziNipo hapa sweet darling.
Hili file lipo reserve bwana halijaguswa tulimpa mtakatifu akawa analipapasa tu tukamnyan'ganya
Hahahahaha..... huyu mtakatifu ni shida ngoja...Hili file lipo reserve bwana halijaguswa tulimpa mtakatifu akawa analipapasa tu tukamnyan'ganya
Acha washiriki wakonde. Sie walaaa tunajilia vyetu.
ha haaha hata sina aisee nimekuwa wakudangampenda pesa sijui kama una couple ya kudumu
Naliwa na Nyani Ngabu mubasharawe unaliwa na nani
Leo pm huendiHili file lipo reserve bwana halijaguswa tulimpa mtakatifu akawa analipapasa tu tukamnyan'ganya
[emoji15] [emoji15] [emoji15] we mama kiboko.umeingia july 2.na kuliwa ushaliwa.Wee watu tunakulana live we bakia hivyo hivyo ukadhania wanataniana wenzio tushahamia na kuishi pamoja ,so muwe makini
Zamani watu washafanya yao[emoji15] [emoji15] [emoji15] we mama kiboko.umeingia july 2.na kuliwa ushaliwa.
Jamii forum weka mbali na watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe humu ukijifanya mgumu.nimegundua utakufa na migundi yako,mimi uwa nachukulia poa.kumbe kweli watu mnaminyana kwenye kona.Zamani watu washafanya yao
Halaf sasa mpaka ubahatisheKumbe humu ukijifanya mgumu.nimegundua utakufa na migundi yako,mimi uwa nachukulia poa.kumbe kweli watu mnaminyana kwenye kona.
Shikamoo jamii forum
Sent using Jamii Forums mobile app