Vituko vya gazeti la uhuru

Vituko vya gazeti la uhuru

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
366
kuna wakati najiuliza hivi kuna msomaji kweli wa gazeti hili? na je hivi kuna mnunuzi kweli wa gazeti hili na je tangia chadema iwe tumaini la watanzania hivi limeahi kupata faida? naomba maoni yenu wadau
 
utalipata kwenye ofisi zote za serikali na ndo wateja wao wakubwa
 
Back
Top Bottom