D DOMA JF-Expert Member Joined Mar 17, 2011 Posts 944 Reaction score 366 Jun 19, 2011 #1 kuna wakati najiuliza hivi kuna msomaji kweli wa gazeti hili? na je hivi kuna mnunuzi kweli wa gazeti hili na je tangia chadema iwe tumaini la watanzania hivi limeahi kupata faida? naomba maoni yenu wadau
kuna wakati najiuliza hivi kuna msomaji kweli wa gazeti hili? na je hivi kuna mnunuzi kweli wa gazeti hili na je tangia chadema iwe tumaini la watanzania hivi limeahi kupata faida? naomba maoni yenu wadau
K Kilongayena Member Joined May 9, 2011 Posts 14 Reaction score 0 Jun 20, 2011 #2 Limeanza kuchapishwa rasmi lini? na linatoka kwa wiki mara ngapi ? tujuze mdau
Rocket Senior Member Joined Apr 11, 2011 Posts 133 Reaction score 7 Jun 20, 2011 #3 utalipata kwenye ofisi zote za serikali na ndo wateja wao wakubwa