VITUKO VYA KUAMUA NANI ANAKUWA BINGWA KABLA HAPO NDIPO MTAONA YA KINA KI....HUKO MWANZA

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
HII NDIO SHIDA KUBWA UKIFIKA WAKATI WAMEAMUA BINGWA ...BASI MTAYAONA MENGI UWANJANI MJIPANGEKUCHEKA TU MWAKA HUU
 
Kweli nyaku nyea kuku nyakia taba sharihaka

Mliaminishwa kuweka dawa vyumbani mkashindwa sasa sijui mwamuzi sijui kasase duh ravyu kinawauma
 
Reactions: Tui
Hivi zile dakika ziliongezwa kwa wachezaji wa Simba tu ama wote?
 
HII NDIO SHIDA KUBWA UKIFIKA WAKATI WAMEAMUA BINGWA ...BASI MTAYAONA MENGI UWANJANI MJIPANGEKUCHEKA TU MWAKA HUU
Omba omba sc chura tako tasaf lialia sc malalamiko sc nyani haoni kundule
 
Omba omba sc chura tako tasaf lialia sc malalamiko sc nyani haoni kunduleView attachment 1085946

Mkuu kwa atachment hizi umeua. Hii ni sawa na kuwaambia watu hawawezi kudanganya watu wote kila wakati.
Ushauri Yanga wangejikita kwenye mambo ya kiufundi zaidi uwanjani. Hivi visingizio vinaplay kama limiting factors kwao bila kujijua
 
mkuu umekosea ila nakunong'oneza usimwambie mtu
Yanga wangejikita kwenye mambo ya kuruka ukuta tu yakuingia milango mingine hawayawezi kwa sasa. nimekunong'oneza ibaki siri yetu ravyu wasisikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…