Hahahaaaa. Uswahilini noma.hahaa mtoto akimaliza darasa la saba", Anaambiwa kuanzia leo chai utapata bure ila vitafunwa ujitegemee"... umeshakuwa mkubwa wewe
Hii kila muhuni alieishi kigetogeto amepitia, Kwa bibi jongo, mama zakayo tumenunua sana visamaki na maharage!uswahilini usiku wanauza maharage yaliyopikwa tsh300 na chapati tsh100 ... ukiwa na buku tu unakula mpaka una saza"..... basii kuna watu huwa wanapika ugali/wali halafu mboga wanakwenda kununua maharage"..... hii hata mimi nimekula sana Aisee
Uuwiii. Hao ni noma.kuna wale wanaoenda vibanda vya chips kuchukua maganda ya ndizi na ya mayai halafu ikifika asubuhi anafagia kutokea chumbani kwake kuelekea ukumbini ilimradi wapangaji wenzie wajue
Saana Mkuu".... haya Maisha we acha tuHii kila muhuni alieishi kigetogeto amepitia, Kwa bibi jongo, mama zakayo tumenunua sana visamaki na maharage!
ahahaha uswazi hukoUuwiii. Hao ni noma.
Hakujawahi isha vituko aiseee.ahahaha uswazi huko
Ulikuwa getikaliNa kweli usemalo. Japokuwa kuna wachache wapo kama sie tuliokulia uswahilini tu.
Hahahaaa. Hapana Mkuu.Ulikuwa getikali
Hahahaaa umenikumbusha wakati naanza kujitegemea nilikuwa kila nikipika chakula kinakuwa kingi namwaga kesho yake sasa nikaamua kila jioni nikirudi home naenda kununua wali kwa mama ntilie au chipsuswahilini usiku wanauza maharage yaliyopikwa tsh300 na chapati tsh100 ... ukiwa na buku tu unakula mpaka una saza"..... basii kuna watu huwa wanapika ugali/wali halafu mboga wanakwenda kununua maharage"..... hii hata mimi nimekula sana Aisee
hahaa umeona mzee"", Unapata sahani ya wali ya 1200 na 1500 ....uswahilini balaa mzeeHahahaaa umenikumbusha wakati naanza kujitegemea nilikuwa kila nikipika chakula kinakuwa kingi namwaga kesho yake sasa nikaamua kila jioni nikirudi home naenda kununua wali kwa mama ntilie au chips
Tulikuwa tunawaitaga good lifeHahahaaa. Hapana Mkuu.
Hili niliwahi kulishuhudia kipindi naish Kigogo kwa Uncle eeeeh! Yale maisha hapana aisee, ila sometymz huwa nayamishivyo hivyo madame kuna visa sana".... watu wamepinda Mnoo mshipa wa haya umekatika " waweza kumkuta mama mtu mzima ana Mtusi mwanae wakumzaa tusi la nguoni" tena la kiungo chake mwenyewe
ni hatari chief"... kuna wakati huwa una ya miss" kwa upande wangu hapana Aisee"...Hili niliwahi kulishuhudia kipindi naish Kigogo kwa Uncle eeeeh! Yale maisha hapana aisee, ila sometymz huwa nayamis