U udongo Member Joined Oct 28, 2010 Posts 14 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #1 Huko maswa imetangazwa na channel ten kuna kituo kiko 150 mts (nyalikungu) kutoka ofisi za msimamizi wa uchaguzi matokeo yake hayajamfikia msimamizi. lakini kuna box za kura zimetoka zaidi ya 50kms yameshafika. Yaleyaleeee
Huko maswa imetangazwa na channel ten kuna kituo kiko 150 mts (nyalikungu) kutoka ofisi za msimamizi wa uchaguzi matokeo yake hayajamfikia msimamizi. lakini kuna box za kura zimetoka zaidi ya 50kms yameshafika. Yaleyaleeee
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Nov 1, 2010 #2 something that does not meet the eye........................
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,092 Nov 1, 2010 #3 I smell something fishy
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Nov 1, 2010 #4 Wizi umeanza!!
M Mangi Meli Member Joined Feb 1, 2010 Posts 38 Reaction score 1 Nov 1, 2010 #5 yeah! must be smthing fishy!