Vituko vya mochwari

Najuta kusoma hapa na nilivyokuwa na kiherehere nimesoma mwanzo mwisho
[emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana
 
Hiyo ya kuomba simu tena kali
 
[emoji15] [emoji125] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MI navuta ndogo
Dah mkuu acha bhana iyo kitu ni Haramu!!! Alafu nikume udaku kidogo Mkoani Mbeya kuna watu waliajiliwa Mortuary walishindwa kumaliza hata mwezi wakakimbia wakaletwa wengine wakashindwa hawakumaliza mwezi sijui kwanini lakin sasa hivi kuna majembe yapo huko yanapiga kazi kama kawaida
Ila kazi ya Mortuary ina mambo bhana!!!!
 
Wa Kwanza walikosea masharti....
 
Jamaa wawili huko Kenya wakikua wanafanya kazi huko kwa maiti, Ila hupeana zamu, mmoja anatoka na mwingine anabaki kulinda maiti, maiti hulazwa chini kutokana na uhaba wa vifaa.

Jamaa alipotoka jamaa akajilaza katikati ya maiti uzingizi fofofo. jamaa aliporudi akamtafuta jamaa ake akamkosa, akadhani katoka, kisha akachukua fimbo na kuabza kuzipiga maiti moja baada ya nyingine huku akizihesabu kujua kama zipo zote.

Wakati anaendelea kupiga mmoja akapiga kelele, na kuamka haraka huku akilala mika maumivu, jamaa alikimbia mbio speed ya mwanga, yule aliye amka kumbe alikua no yule rafiki yake na sio maiti.
 
Mshana, I respect you much brother but this is not fair, [emoji21] no health personal who is allowed kutoa izo siri ikiwa za patient, client au hata deadbody, don't act like a kid brother u are grown up enough, don't do this please...[emoji120]
Maiti sio patient
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…